Wakulima wanatarajia kuvuna mazao maridhawa ya mahindi katika eneo la Northrift

  • | Citizen TV
    860 views

    Wakulima wa mbegu katika eneo la Northrift wanatarajia kuvuna pantosha msimu huu, hii ni baada ya kukumbatia teknolojia ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi yanayotishia uzalishaji wa vyakula nchini.