Wakulima wataka uuzaji wa mashamba Kericho upigwe msasa

  • | Citizen TV
    110 views

    Makundi ya koo za Kipsigis yametoa Wito wa Kupigwa msasa upya kwa Uuzaji wa Mashamba ya Chai ya Lipton kwa Kampuni ya Browns ya Sri-Lanka