Walimu wa sekondari msingi kupata ajira ya kudumu

  • | Citizen TV
    416 views

    Kamati ya Elimu katika bunge la Kitaifa imesema kuwa Serikali limetenga pesa za kuwaajiri walimu 46,000 wa sekondari msingi. mwenyekiti wa kamati hiyo Julius Melly, ametoa hakikisho kwa walimu wa JSS ambao walikuwa wameajiriwa kwa mfumo wa kandarasi watapata ajira ya kudumu .