Wamiliki wa magari yaliyotumika kuwateka vijana hao wamebainika.

  • | Citizen TV
    18,768 views

    Familia za vijana waliotoweka baada ya kutekwa nyara takriban wiki mbili zilizopita wangali wanahangaika bila kujua waliko wanao. Familia hizo zinaamini serikali ilihusika na kutoweka kwa vijana hao kwa kukejeli serikali mitandaoni.