Wanafunzi Njia Panda

  • | Citizen TV
    1,407 views

    Wazazi na wanafunzi wanaosomewa katika shule 348 zilizoamrishwa kufungwa kwa kutotimiza vikwazo vilivyowekwa na wizara ya elimu wana wasiwasi mkubwa kuhusu hatma yao shule zitakapofunguliwa Jumatatu. Hata hivyo waziri wa elimu Julius Migos anasisitiza kuwa sharti shule hizo zitimize matakwa yote kabla ya kufunguliwa ili kuepuka mikasa shuleni.