Wanajeshi wa SADC zaidi ya 300 waondoka kutoka mjini Goma

  • | VOA Swahili
    201 views
    Wanajeshi zaidi ya 300 kutoka Jumuiya ya Kusini mwa Africa, SADC, SAMIRDC wameanza kuondoka mjini Goma, Kivu Kaskazini, baada ya mazungumuzo ya zaidi ya wiki mbili kati ya waasi wa AFC/M23 na serikali mbali mbali. Waasi hao wana washutumu wanajeshi wa Tanzania, Africa Kusini na Malawi kushirikiana na jeshi la Congo, FARDC, kupigana nao. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Austere Malivika, DRC. #wanajeshi #jumuiya #SADC #kusinimwaafrika #samirdc #goma #kivukaskazini #tanzania #afrikakusini #malawi #fardc #voaswahili