Je, Wasanii wanafaidika na kukua kwa mapato ya muziki?

  • | BBC Swahili
    279 views
    #muziki#mitandaoyakijamii #kenya Ripoti ya ya hivi karibuni kuhusu muziki barani Afrika inaonesha kwamba mapato kutoka kwa tasnia ya muziki ilikua kwa angalau asilimia 22 mwaka jana. - Mapato hayo yaliongezeka kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijami katika mataifa mengi barani Afrika. - Lakini je, wasanii wetu wamefaidika kwa mapato hayo? Na nini lazima msanii afanye ili aweze kufaulu kimuziki, lakini pia awe na mapato zaidi? Mwandishi wa BBC Roncliffe Odit amezungumza na Kathambi Mirero, ambaye ni mwenezi wa muziki, pamoja na mwanamuziki Iyanii kutoka Kenya, ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya … #bbcswahili #muziki #vijana #mitandaoyakijamii #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw