Watoto wa shule wapewa viatu katika kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    128 views

    Serikali imetakiwa kuweka mikakati kabambe kwa wanafunzi wanaosomea katika mazingira magumu au maeneo yaliyotengwa kimaendeleo ili kuhakikisha kuwa wanavaa viatu na kuzuia changamoto zinazolwakodolea macho kila mara wanapotembea miguu mitupu.