Watoto walio na umri wa chini ya miaka 5 waathirika na mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    148 views

    Watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano na akina mama kaunti ya Samburu, wameathirika pakubwa na mabadiliko ya tabianchi, hali ambayo yamesababisha ukosefu wa lishe na kuchangia ugonjwa wa utapiamlo na matatizo ya afya ya akili. Wanamazingira kaunti hiyo wanawataka wafugaji kudhibiti mabadiliko ya tabianchi.