Watu walio na ulemavu wataka kushirikishwa serikalini

  • | KBC Video
    4 views

    Chama cha watu walio na ulemavu kimemhimiza rais William Ruto kuwajumuisha watu walio na ulemavu kwenye serikali ili kuipa usemi jamii hiyo.Wakiongozwa na afisa mkuu mtendaji Sally Nduta, wanachama wa chama hicho walikosoa ukosefu wa uwakilishi mwafaka wa watu walio na ulemavu kwenye nyanja mbalimbali za serikali wakisema umewanyima nafasi ya kupata huduma za kimsingi. Wanasema rais anapaswa kuwapa watu walio na ulemavu nafasi za uongozi ili kubuni jamii yenye usawa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive