Watu watano wafariki baada ya jumba lenye ghorofa tatu lililokuwa likijengwa kuanguka Itierio, Kisii

  • | Citizen TV
    5,749 views

    Watu watano wamethibitishwa kufariki huku wengine watatu wakiendelea kupata matibabu ya dharura katika hospitali ya rufaa ya Kisii, baada ya jumba lenye ghorofa tatu lililokuwa likijengwa kuanguka Itierio eneobunge la Bonchari. Shughuli za kuokoa watu zaidi waliokwama kwenye vifusi ziliendelea kwa kutwa nzima. Chrispine Otieno amekuwa akifuatilia tukio hili na hii hapa taarifa yake