Wawakilishi wadi wajadili mbinu za usawa kwa walemavu

  • | Citizen TV
    123 views

    Kama njia moja ya kuleta usawa katika jamii Kwa maswala ya ulemavu, wawakilishi wadi katika kamati ya ulemavu wamefanya kongamano Kaunti ya Kajiado na washikadau ili kutafuta suluhu ya kumshughulikia watoto Na wanawake katika jamii