Wazazi wahimizwa kutunza vipawa vya wanao

  • | KBC Video
    3 views

    Wazazi wametakiwa kubaini na kukuza mapema talanta za watoto wao.Wadau wa sekta ya elimu waliozungumza wakati wa warsha kuhusu taaluma na vipaji jijini Nairobi pia waliwahimiza walimu kujiendeleza kimasomo ili kunoa maarifa yao kuhusu mfumo wa elimu ya CBC. Walisema hayo wakati wa mafunzo kwa wqazazi na walimu katika kituo cha gravity CBC.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive