Waziri Migos Ogamba azitaka shule kuwa na subra huku serikali ikikawia kukamilisha mgao wa elimu

  • | Citizen TV
    267 views

    Waziri wa Elimu Julius Migos amewahakikishia wakuu wa shule kuwa serikali inajizatiti kuhakikisha kuwa mgao wa elimu unakamilishwa haraka iwezekanavyo. Migos aliyekuwa kaunti ya Kisii hii leo amesema shilingi Bilioni 14 zaidi zinatazamiwa kutolewa kufikia juma lijalo. Chrispine Otieno anaarifu