Waziri wa kawi Opiyo Wandayi asema serikali itahakikisha umeme haukatiki ovyo

  • | Citizen TV
    301 views

    Waziri wa kawi Opiyo Wandayi ametoa hakikisho kuwa wizara yake itafanya kila jitihada kuhakikisha matatizo ya kupotea kwa umeme yamepungua.