Waziri wa Mazingira Aden Duale ashinikiza amani bila masharti kwa raia

  • | Citizen TV
    190 views

    Waziri wa mazingira, mabadiliko ya tabia nchi na misitu Aden Duale ametoa wito kwa wananchi wa Marsabit kuendelea kudumisha amani na kutangamana kwa umoja bila ya kuzingatia vikwazo vya kabila na dini.