Wenyeji wa Malindi wadai fidia kabla ya uwanja wa ndege wa Malindi kuchukuliwa na Adani

  • | NTV Video
    469 views

    Wenyeji wa Malindi kaunti ya Kilifi waliofurushwa ili kupanua uwanja wa ndege wa Malindi wamefika kortini wakitaka walipwe fidia kabla ya kampuni ya Adani kuchukua usukani wa viwanja vya ndege nchini

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya