Wizara ya afya yazindua vifurushi vipya katika mpango wa matibabu

  • | Citizen TV
    265 views

    Wizara Ya Afya Imezindua Vifurushi Vipya Katika Mpango Wa Matibabu Ambao Utaanzishwa Rasmi Oktoba Mosi. Watakaofaidika Zaidi Kwenye Bima Hiyo Ya Afya Ya Sha, Ni Akina Mama Kwani Wamepata Kifurishi Kipya Cha Linda Mama.