Joshua Lyatuu Mwanafunzi wa Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Siasa na Uongozi wa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anasema utekaji huo unatia wasiwasi zaidi kutokana na walengwa wa utekaji huo kuwa wakosoaji wa serikali hivyo ameitaka serikali kuruhusu uhuru wa kutoa maoni kwa wananchi wanaohitaji kutoa maoni juu ya mwenendo wa serikali yao.
Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani
#joshualyatuu #chuokikuu #tanzania #wanaharakati #mariasarungi #utekajinyara #kenya #nairobi #tanzania #voaswahili
12 Mar 2025
- Spain's government approved a bill on Tuesday imposing massive fines on companies that use content generated by artificial intelligence (AI) without properly labelling it as such, in a bid to curb the use of so-called "deepfakes".
12 Mar 2025
- Former Philippine President Rodrigo Duterte was arrested and taken into custody on Tuesday in Manila on an International Criminal Court warrant for the "war on drugs" that defined his term in office and which killed thousands of Filipinos.