Yuko wapi Collins Jumaisi, mshukiwa mkuu wa mauaji ya Mukuru

  • | KBC Video
    1,350 views

    Idara ya upelelezi wa jinai-DCI imeimarisha juhudi zake za kumsaka Collins Jumaisi, ambaye ni mshukiwa mkuu wa mauaji ya Mukuru,kwa kuahidi kutunuku pesa taslimu yeyoted atakayetoa habari zitakazosaidia kukamatwa kwake. Jumaisi amekuwa mafichoni tangu atoroke kwa njia tatanishi kutoka korokoro ya kituo cha polisi cha Gigiri,mwezi Agosti mwaka-2024, ambako alikuwa akizuiliwa akisubiri kushtakiwa kwa mauaji.Idara hiyo anatoa wito kwa umma kutoa habari zozote muhimu kuhusu aliko.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive