Zoezi la kuwatafutia vijana ajira lafanyika Garissa

  • | Citizen TV
    278 views

    Shirika la wafanyikazi ulimwenguni ikishirikiana na mamlaka la ajira nchini na taasisi ya uongozi wa kazi imezindua zoezi la kuwaunganisha waajiri na vijana kutoka kaunti ya Garissa kupitia mpango unaojulikana kama huduma ya ajira mashinani.