- 141 viewsKundi la madaktari wasio na mipaka nchini Kenya-MSF limeshutumu vikali ghasia zinazoendelea kwa wagonjwa na wafanyakazi katika hospitali ya kiufundi huko Bashair iliyopo katika eneo linalodhibitiwa na kundi la wanamgambo la RSF KHARTOUM. Licha ya kuwepo na mashauriano na wadau, mashambulizi haya yameendelea katika miezi ya hivi karibuni. MSF hivi sasa imechukua uamuzi mgumu kusitisha shughuli zote za kitabibu katika hospitali. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MSF imeshutumu vikali ghasia zinazoendelea kwa wagonjwa Sudan
- - Duniani Leo ››
- - 🔴LIVE | TV47 MATUKIO ››
- 21 Jan 2025 - A suspected gang leader known as "Tiger" escaped with the help of South African police after being pulled from an illegal gold mine last week where at least 78 miners died, the police said on Monday.
- 21 Jan 2025 - Sixteen Sudanese nationals were killed last week in protests that degenerated into looting and violence in South Sudan, but calm has since returned, police said on Monday.
- 21 Jan 2025 - Tanzania's President Samia Suluhu Hassan on Monday confirmed an outbreak of the deadly Marburg virus in the northwest of the country, with one confirmed case so far.
- 21 Jan 2025 - President William Ruto has given Ksh150 million bonus for sugar farmers who have supplied cane to Kakamega’s Mumias Sugar Factory, the first such payment in the sector. The President said the historic bonus payment to farmers not only validates the…
- 21 Jan 2025 - Patients at public hospitals faced sparse services yesterday even as the government made a last-minute bid to get clinical officers to call off their strike. Reports from counties indicated that patients, including at levels 2, 3 and 4 health facilities…
- 21 Jan 2025 - The government is working to ensure Kenya Broadcasting Corporation (KBC) reclaims its space as the national broadcaster, the ICT and Digital economy Cabinet Secretary William Kabogo has said. Speaking during his maiden visit to KBC studios after being…
- 21 Jan 2025 - The government is working to ensure Kenya Broadcasting Corporation (KBC) reclaims its space as the national broadcaster, the ICT and Digital economy Cabinet Secretary William Kabogo has said. Speaking during his maiden visit to KBC studios after being…
- 21 Jan 2025 - People living with HIV afraid ARV stocks could run out by July
- 21 Jan 2025 - The governors argue that such responsibility lies with the national government, and they have warned of taking legal action if the directive is not rescinded.
- 21 Jan 2025 - Under SHA and Ministry of Health regulations, a beneficiary qualifies for overseas treatment if they are a registered and paid-up SHA member, the treatment is unavailable locally, and the healthcare facility to which they are referred is contracted by…