Wazazi pamoja na wanafunzi wahimizwa kutokata tamaa kuhusu matokeo ya KCSE

  • | Citizen TV
    239 views

    Viongozi Wa Kidini Kaunti Ya Bungoma Wamewahimiza Wazazi Kukumbatia Taasisi Za Elimu Ya Kiufundi Ili Kuwawezesha Wanao Hasa Waliopokea Matokeo Ya Mtihani Wa Kidato Cha Nne Kcse Kupata Ujuzi Utakaowawezesha Kujikimu Maishani.