Wakaazi wavamia boma la Naibu Chifu Malava

  • | Citizen TV
    3,292 views

    Wakaazi wenye hasira walivamia boma la naibu chifu katika eneo la Malava na kuteketeza nyumba zake mbili kwa madai kuwa alichochea kuuwawa kwa watu wawili waliodaiwa kuwa wezi w amifugo. Wakazi hao walitwaa maiti hospitalini na kuitupa kwenye boma hilo wakidai majibu.