Rais azindua awamu ya nne ya uunganishaji umeme mashinani

  • | KBC Video
    560 views

    Rais William Ruto amezindua awamu ya nne ya mpango wa uunganishaji umeme katika maeneo ya mashambani katika kaunti ya Kakamega. Makazi takriban elfu 26,712 yatanufaika na mradi huo utakaogharimu mabilioni ya pesa, na ambao unalenga kuhakikisha wakenya zaidi wanaunganishwa katika mtandao wa umeme wa kitaifa. Rais, yuko katika ziara ya kikazi ya siku tano katika eneo la Magharibi. Achola Simon na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive