Saratani ya matiti yaripotiwa miongoni mwa wanaume

  • | Citizen TV
    152 views

    Huku taifa la Kenya likiungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya saratani,ugonjwa huo umeongezeka kaunti ya Makueni kwa asilimia 31 kati ya mwaka wa 2023 na mwaka wa 2024