Trump asema watu milioni 1.8 wa gaza watahamishwa

  • | Citizen TV
    1,905 views

    Rais wa Marekani, Donald Trump, na Waziri Mkuu wa Israel, Netanyahu, wamefanya mkutano wa waandishi wa habari ambapo Trump ametoa pendekezo kwamba Marekani “ichukue udhibiti” wa Gaza, na kuwahamisha watu milioni 1.8 wa Gaza kwenda nchi nyingine za Kiarabu