Kalonzo Musyoka asema atakuwa kwenye kinyang'anyiro cha urais cha mwaka wa 2027

  • | Citizen TV
    1,720 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amesema kuwa atakuwa kwenye kinyang'anyiro cha urais cha mwaka wa 2027. kalonzo amesema kuwa ni wakati wake kuwania urais kwani amekuwa akiwaachia viongozi wengine wa upinzani kuwania kiti hicho.