Wakulima wa mpunga Busia walalamikia hasara

  • | Citizen TV
    294 views

    Wakulima Wa Mpunga Katika Eneo La Lwamoro Eneo Bunge La Budalang’i Kaunti Ya Busia Wanakadiria Hasara Kubwa Baada Ya Zaidi Ya Ekari Sitini Za Mpunga Kuharibiwa Na Mvua Kubwa Iliyoshuhudiwa. Wakulima Hao Wamesikitika Kuwa Huenda Wakashindwa Kurejelea Kilimo Hicho Iwapo Hawatapigwa Jeki Na Serikali Kutokana Na Gharama Kubwa Inayohusishwa Na Kilimo Hicho.