Maeneo ya Gusii bado yana idadi ya juu ya ukeketaji

  • | Citizen TV
    101 views

    Miungano ya mashirika mbalimbali kutoka Kaunti ya Kisii na Nyamira kwa pamoja na wahudumu wa afya eneo hilo wamejumuika pamoja kukabiliana na ukeketaji maeneo haya