Mwanafunzi wa kidato cha nne auawa kwa kudaiwa kuwa mhalifu eneo la Diani

  • | TV 47
    20 views

    Mwanafunzi wa kidato cha nne auawa kwa kudaiwa kuwa mhalifu.

    Mwanafunzi huyo anadaiwa kuhusika katika tukio la wizi eneo la Diani.

    Waliomuua walitoweka wakati kijana huyo alipoenda kununua chakula.

    Wakaazi wanataka haki itendeke kwa kijana huyo aliyeuawa kimakosa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __