RMS imezindua kipindi cha spoti

  • | Citizen TV
    232 views

    Kampuni ya Royal Media Services, kwa ushirikiano wa vituo mbalimbali vya burudani, imezindua kipindi cha spoti ambacho kitawakutanisha watangazaji mashuhuri wa radio citizen ili kuchambua na kujadili mechi za Ligi Kuu ya Uingereza