Usaili wa wawaniaji wa makamishna wa IEBC waendelea

  • | KBC Video
    20 views

    Aliyekuwa naibu afisa mkuu mtendaji wa tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka, IEBC Betty Sungura, na mwanahabari wa zamani Bevin Angellah Bhoke, ni miongoni mwa wawaniaji sita waliofika mbele ya jopo la uteuzi linaloongozwa na mwenyekiti Nelson Makanda hii leo, huku shughuli ya kuwatafuta makamishna wapya wa tume ya IEBC ikiendelea. Wawaniaji wote waliosailiwa katika siku ya tatu ya usaili wa makamishna, walitakiwa kuelezea ufaafu wao ambao utasaidia kuimarisha taswira ya tume hiyo ya uchaguzi na kurejesha imani ya umma. Giverson Maina na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News