Usaili wa makamishna wa IEBC waendelea

  • | KBC Video
    51 views

    Watahiniwa wanne wanaotaka kuteuliwa kuwa makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC walifika mbele ya jopo linaloongozwa na Nelson Makanda ambapo walihojiwa kuhusu ufaafu wao. Eliud Wanjao Ngige, ambaye alikuwa mgombea mwenza wa ugavana wa kaunti ya Kirinyaga ni miongoni mwa wale waliokabiliwa na wakati mgumu kueleza jinsi atakavyoshughulikia changamoto zinazoikumba tume hiyo. Wakati uo huo,Esther Nanjala Wekesa ambaye ni miongoni mwa waliotarajiwa kufika mbele ya jopo hilo hakufika.Ben Chumba na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive