Ruto na Wandani Wake Wazomewa Nyandarua Baada ya Ziara ya Mlima Kenya.

  • | K24 Video
    666 views

    Baada Ya Siku Mbili Zenye Mafanikio Za Ziara Yake Katika Eneo La Mlima Kenya, Rais William Ruto Na Wandani Wake Walijipata Matatani Baada Ya Kuzomewa Na Wakazi Wa Kaunti Ya Nyandarua, Mbunge Wa Laikipia Mashariki Mwangi Kiunjuri Na Mbunge Wa Kikuyu Kimani Ichungw'a Wakilazimika Kukatiza Hotuba Zao Baada Ya Kuzomewa Na Wakazi. Haya Yanajiri Siku Moja Baada Ya Rais Na Wandani Wake Kuwa Na Wakati Mwafaka Kumshambulia Rigathi Gachagua Katika Kaunti Za Kirinyaga Na Meru Hiyo Jana.