Majangili washambulia watu kwenye barabara ya Marigat

  • | Citizen TV
    271 views

    Watu wawili wameuawa kwa kupigwa risasi huku wengine wawili wakijeruhiwa katika shambulizi la majambazi lililotokea mapema asubuhi ya jana eneo la Loberer, kwenye barabara ya Marigat kuelekea Chemolingot