Runinga za Citizen, Inooro na Redio Ramogi zatuzwa

  • | Citizen TV
    595 views

    Runinga za Citizen, Inooro na Redio Ramogi zatuzwa Royal Media yazoa ushindi kwenye tuzo za Kuza mwaka huu Citizen TV yatajwa kuwa stesheni inayopendwa zaidi nchini runinga ya Inooro yasifiwa kwa kukuza vipawa na wasanii Redio Ramogi yaibuka kwenye tatu bora inayopendwa nchini