Uvimbe kwenye kizazi: ‘Watu walidhani nina mimba’

  • | BBC Swahili
    655 views
    Princessa Oreo alipoambiwa ana uvimbe tumboni kwa mara ya kwanza, alichanganyikiwa kwa sababu hakuwahi kukutana na hali kama hiyo hapo awali. Akiwa na umri wa miaka 35, aligundua kuwa ana uvimbe katika kizazi (Fibroid), na akaanza safari ya kutafuta matibabu. Fibroids ni uvimbeusio na saratani ambao unaweza kuathiri afya ya wanawake. #bbcswahili #wanawake #afya subscribed kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw