Wakenya kupata nafasi ya kuingia bila malipo katika mbuga na hifadhi za wanyama kuanzia tarehe 28

  • | K24 Video
    17 views

    Wakenya watapata nafasi ya kuingia bila malipo katika mbuga na hifadhi za wanyama kuanzia tarehe 28 September 2024. Kulingana na waziri wa utalii Rebecca Miano, serikali imepania kuhakikisha uhifadhi wa wanyamapori kupitia sera madhubuti na mikataba ya kimataifa kama cites.