Naibu Gachagua amtaka rais Ruto kumkinga kutoka kwa mawimbi ya kisiasa

  • | K24 Video
    30 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amemtaka rais William Ruto kumkinga kutoka kwa mawimbi ya kisiasa yanayoendelea kumkumba. Semi za Gachagua zinajiri huku tetesi zikiibuka kuwa huenda hoja ya kumtimua kama naibu rais ikawasilishwa bungeni hivi karibuni.