Usalama waimarishwa karibu na bunge huku mswada wa kumtimua Gachagua ukitarajiwa kuwasilishwa

  • | Citizen TV
    37,667 views

    wabunge wanapanga kuwasilisha mswada wa kumuondoa ofisini naibu rais rigathi gachagua leo alasiri. spika wa bunge la kitaifa moses wetangula atatoa mwelekeo baada ya mwada huo kuwasilishwa. wabunge wamewasilisha malalamishi mbalimbali ikiwemo kukiuka vipengee vya katiba na kutumia visivyo pesa za umma. Wanahabari wetu Emmanuel too na Stephen Letoo wako bungeni na sasa wanaungana nasi mubashara kwa taswira kamili.