Askari jela katika kaunti ya Siaya wadaiwa kumtelekeza mlemavu mgonjwa Caleb Ochola

  • | Citizen TV
    1,129 views

    Askari jela wadaiwa kumtelekeza mlemavu mgonjwa Caleb Ochola Nyainda anazuiliwa katika jela la Siaya ,familia yake inadai amewekwa katika mazingira duni, familia inadai Ochola ananyimwa dawa na chakula