Baraza la chuo kikuu cha UoN latakiwa kuelezea misukosuko ya utawala

  • | KBC Video
    122 views

    Kamati ya elimu katika bunge la kitaifa imeliangazia baraza la chuo kikuu cha Nairobi kuhusu usimamizi mbaya wa taasisi hiyo. Kamati hiyo inayoongozwa na mbunge wa Tinderet Julius Melly, imeelezea wasiwasi wake kuhusu changamoto za usimamizi ambazo zinazoshuhudiwa katika chuo hicho kikuu, ikiwa ni pamoja na hatua zisizofaa za usimamizi zinazojumuisha kubuniwa kwa nafasi ambazo hazijaidhinishwa na uteuzi wa wafanyikazi ambao hawajahitimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive