Biashara I Walaghai katika soko la makadamia watahadharishwa

  • | KBC Video
    14 views

    Halmashauri ya kilmo na chakula inawatahadharisha watu binafsi na kampuni wanaohusika katika kuvuna, kupakia, kutayarisha na kuuza makadamia kukoma kutumia bidhaa ambazo hazijakomaa au zole za viwango duni. Halmashauri hiyo inasema kufanya hivyo kunahatarisha uadilifu wa mauzo ya zao hilo ikionya kwamba wanaohusika huenda wakapokonywa leseni. Taarifa hii kwa kina ni kwenye kitengo chetu cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive