Familia yataka haki ya mwana wao Gitwembe, Migori

  • | Citizen TV
    116 views

    Familia moja huko Gitwembe Kaunti ya migori, inalilia Haki baada ya mwana wao kuuawa na maafisa wa GSU katika eneo la Angata Barakoi mpakani mwa Kaunti ya Migori na Narok