Gachagua anadai njama ya kumkamata na wandani wake

  • | Citizen TV
    1,541 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kwamba Kuna njama ya kumkamata yeye pamoja na wandani wake akitishia kuongoza maandamano kote nchini ikiwa serikali itafuata mkondo huo