Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu awarai wakazi wa kaunti hiyo kuunga mkono serikali

  • | Citizen TV
    212 views

    Gavana wa Narok Patrick Ole Ntutu atetea sera Za Rais Ntutu asma, rais anaweka juhudi kuimarisha uchumi