Hospitali ya KU yanunua mashine ya kisasa 'Cyberknife' inayotibu saratani

  • | KBC Video
    32 views

    Matibabu ya ugonjwa wa saratani katika hospitali ya mafunzo na utafiti ya chuo kikuu cha Kenyatta yamepigwa jeki baada ya hosptali hiyo kununua mashine ya kisasa kwa jina Cyberknife inayotibu saratani sugu. Mashine hiyo iliyogharimu shilingi milioni-675 inaweza kutambua na kutibu kwa usahihi uvimbe mwilini bila hitaji la upasuaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News