Huzuni imetanda katika kijiji cha Kavaida Kaunti Ya Nandi baada ya binti mmoja kuuawa nyumbani kwao

  • | Citizen TV
    649 views

    Mwanamke auawa na mpenziwe kijijini kavaida huko Nandi . Winnie akusuha aliuawa kwa kudungwa na kukatwa kwa kisu mshukiwa wa mauaji adaiwa kujitoa uhai baada ya kisa hicho mwili wa mwanamke wapatikana kisimani Kaunti Ya Nyeri mwanamke huyo alitoweka usiku wa mkesha wa mwaka mpya