Idadi ya waliofariki Wajir kutokana na ugonjwa wa kala-azar yafikia 25

  • | KBC Video
    392 views

    Idadi ya waliofariki kutokana na ugonjwa wa Kala-azar katika kaunti ya Wajir imeongezeka hadi watu 25, huku idadi ya walioambukizwa ikiongezeka na kufikia zaidi ya 600, wengi wakiwa watoto. Serikali imeimarisha juhudi za kukabiliana na hali hiyo kwa kuzindua maabara tamba ambazo zitasaidia katika utambuzi wa mapema na matibabu ya ugonjwa huo. Hatua hiyo pia itasaidia katika kupunguza msongamano katika vituo vya afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive